title : Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki
kiungo : Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki
Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki
KUFUATIA sakata la mzazi mwenziye kuchepuka na kuzaa na mwanamitindo maarufu Bongo, mwanamke shupavu na mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’, amesema hakuna cha kumliza juu ya sakata hilo kwani akaunti yake benki imejaa mkwanja wa kutosha.
Zari alitoa povu kwenye komenti aliyomjibu shabiki wake ambaye alikuwa akimuonea huruma na kusema kwamba anajua kuwa ameumizwa sana na kitendo hicho cha ‘Baby’ wake kuzaa na Hamisa Mobetto, sema tu analilia kwa ndani.
Mpaka saa Zari bado hajaweka wazi kuwa ataendelea na mzazi mwenziye huyo ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, au atachukua hatua gani, ikiwa ni siku moja tu imepita tangu mzazi mwenziye huyo akiri hadharani kuwa mtoto wa Mobetto ni wake.
Hivyo makala Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki
yaani makala yote Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/zari-azidi-kutoa-povu-ajiliwaza-na.html
0 Response to "Zari Azidi Kutoa Povu Ajiliwaza na Mkwanja Wake Uliojaa Benki"
Post a Comment