ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA

ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA
kiungo : ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA

soma pia


ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA

Kampuni ya Acacia Mining PLC kupitia migodi yake ya Buzwagi na Bulyanhulu imeshiriki maonyesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji Dhahabu kwa Maendeleo ya Kijamii na Uchumi wa Viwanda yanayofanyika katika viwanja vya Kalangalala Mkoani Geita.
Akizungumzia Ushiriki wa Migodi ya Acacia ya Bulyanhulu na Buzwagi Mhandisi wa Uchenjuaji wa Bulyanhulu Emmanuel Muchunguzi amesema katika Maonyesho hayo wamejipanga kuielimisha jamii kuhusu uchimbaji wa madini chini ya ardhi, hatua za Uchenjuaji wa Dhahabu, masuala ya Mazingira, Afya, na usalama mahala pa kazi.
 Muchunguzi amewakaribisha wadau mbalimbali waweze kutembelea banda la Maonyesho la Acacia ili wajifunze masuala mbalimbali hasa ya kuhusu uchimbaji na Uchenjuaji salama kwani usalama ndiyo nguzo muhimu ya Uzalishaji wa Dhahabu. Maonyesho hayo yameandaliwa na Mkoa wa Geita.
 
Wakazi wa Geita wakiwa katika banda la Kampuni ya Uchimbaji madini ya Acacia kwenye maonyesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji Dhahabu kwa Maendeleo ya Kijamii na Uchumi wa Viwanda yanayofanyika katika viwanja vya Kalangalala Mkoani Geita.Picha zote na Mary Lupamba - Acacia


Hivyo makala ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA

yaani makala yote ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/acacia-yaonesha-mbinu-bora-za-uchimbaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ACACIA YAONESHA MBINU BORA ZA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MAONESHO YANAYOENDELEA GEITA"

Post a Comment