WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR

WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR
kiungo : WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR

soma pia


WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR

*Awataka Dawasa wawaunganishie maji wananchi walipe kidogo kidogo

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa amezindua mradi wa maji wa Kiwalani na kuwataka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) kuhakikisha wanawaunganishia wananchi wa eneo hilo maji kwa mkataba ili walipe kidogo kidogo kwakuwa serikali imetumia fedha nyingi sana kufanikisha mradi huona Malengo ya Serikali ni kuona watanzania wanapata maji kwa asilimia 90.

Amezungumza hayo wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliokuwa umekamilika tayari na wananchi wa Kiwalani wakianza kupata maji safi na salama kuitia vizimba vitano vilivyokuwa vimeshajengwa tayari.

Profesa Mbarawa amesema, kumalizika kwa mradi huu ni moja ya ahadi ya serikali ya kuhakikisha kila mwananchi na eneo la Kiwalani wana zaidi ya miaka 30 hawajawahi kuwa na maji safi ya Dawasa na wamekuwa wanatumia chumvi katika kipindi chote hicho.

Amesema Profesa Mbarawa, ukiachana na mradi huo mpaka sasa serikali bado ina miradi mingine ikiwamo mradi wa Bilioni 133.2 ambao ni mradi wa kutoka Benki ya dunia na maji yatakayozalishwa hapo yatapatikana maeneo ya Dar es Salaam na Bagamoyo.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa (wapili kushoto) kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Segerea,Bonnah Kaluwa (wakwanza kushoto) wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji Kiwalani Bom Bom jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Segerea,Bonnah Kaluwa wakifungua mradi wa maji Kiwalani Bom Bom jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasa) Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza machache na kumkaribisha Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, kuzungumza wananchi wa Kiwalani Bom Bom leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa, (wapili kushoto), akionyeshwa ramani ya mradi wa maji katika kata Kiwalani Bom Bom na Mratibu wa Mradi wa Kiwalani Mhandisi Ramadhani Mtindasi leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR

yaani makala yote WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-mbarawa-azindua-mradi-wa-maji-wa_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MBARAWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIWALANI LEO JIJINI DAR"

Post a Comment