Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja

Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja
kiungo : Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja

soma pia


Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja


Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Ester Amos Bulaya, amesema kuwa yupo katika hatari kubwa kutokana na kufuatiliwa na watu waliovalia mavazi ya kininja nyumbani kwake wilayani Bunda.

Bulaya ametoa taarifa hiyo alipokuwa leo  na kusema kwamba watu hao walimfuata nyumbani kwake wakiwa na gari aina ya Noah huku wamevaa kininja.

Aidha, amesema kuwa kwa bahati nzuri wakati watu hao wakienda kwake hakuwepo nyumbani, hivyo ndugu zake wakampigia simu ili asirudi nyumbani siku hiyo aweze kuokoa usalama wake..

Hata hivyo, ameongeza kuwa watu hao waliokuwa wakimtafuta walizunguka kwa baadhi ya ndugu zake akiwemo bibi yake na kumkosa, lakini alienda kutoa taarifa polisi na mkuu wa kituo kuanza kufuatilia suala hilo, lakini haikuchukua muda akahamishwa kituo cha kazi.


Hivyo makala Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja

yaani makala yote Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ester-bulaya-ninafuatiliwa-na-watu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ester Bulaya: Ninafuatiliwa na watu waliovaa mavazi ya kininja"

Post a Comment