TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017

TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017
kiungo : TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017

soma pia


TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017




Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akizungumza kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, yatakayofanyika Oktoba 9, nchini, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.



Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kabla ya kumkaribisha Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Deo Kwiyukwa (kushoto), kuzungumza nao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, yatakayoadhimishwa Oktoba 9, 2017. 

Baadhi ya Wakurugenzi na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu, Deo Kwiyukwa.

Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa kazini, wakichukua picha wakati Kaimu Postamasta Mkuu, Deo Kwiyukwa akizungumza katika mkutano huo, leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017

yaani makala yote TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tpc-kuadhimisha-siku-ya-posta-duniani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TPC KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017"

Post a Comment