UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao

UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao
kiungo : UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao

soma pia


UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao

 Sehemu ya waokoaji wakiwa katika pemezoni mwa kivuko cha Mv. Nyerere kilichopinduka na kupelekea idadi kubwa ya watu kupoteza maisha na wengine kujerukiwa, katika eneo la Ukara, Kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza, wakiangalia maeneo mbalimbali kutafuta miili au watu waliohai waliozama kwenye maji. ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorora na Ukara katika wilayani ya Ukerewe mkoani Mwanza kilipinduka juzi Alhamisi (Septemba 20, 2018) kikikadiriwa kubeba idadi kubwa ya abiria kuzidi uwezo wake. Kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe, Mpaka wahati huu miili ya waliopolewa majini imefikia 163, huku kati yao miili 116 imetambuliwa na ndugu zao. Picha zote na Kasampaida.
 Vivuko vya Mv. Clarias na Mv. Nyehunge vikiwa tayari kwa msaada wowote wa hata.
 Baadhi ya vijana wa Skaut wakiwa wamebeba moja ya miili iliyoopolewa kwenye maji baada ya Kivuko cha MV. Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorora na Ukara katika wilayani ya Ukerewe mkoani Mwanza kilipinduka.
Zoezi la Ukoaji likiendelea.



Hivyo makala UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao

yaani makala yote UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/up-dates-ajali-ya-kivuko-mv-nyerere.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UP DATES AJALI YA KIVUKO MV. NYERERE: mpaka sasa miili 163 imeopolewa majini,miili 116 imetambuliwa na ndugu zao"

Post a Comment