TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018

TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018
kiungo : TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018

soma pia


TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018

 MKURUGENZI wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Akson, akimsikiliza Mbunge wa Busega, Dkt. Chegeni, walipokuwa wakitambulishwa, madiwani wa CCM wa Mkoa wa Mbeya walioteuliwa katika uchaguzi mdogo uliopita,  wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Wilayani Rungwe mji wa Tukuyu mkoani Mbeya jana Sept 21/ 2018.
 WASANII wa Kikundi cha ngoma cha Makandana, wakishambulia jukwaa wakati wa mashindano ya ngoma katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Wilayani Rungwe mji wa Tukuyu mkoani Mbeya jana Sept 21/ 2018.
 WASANII wa Kikundi cha ngoma cha Bagamoyo cha Wilayani Rungwe, wakishambulia jukwaa wakati wa mashindano ya ngoma katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Wilayani Rungwe mji wa Tukuyu mkoani Mbeya jana Sept 21/ 2018. 

WASANII wa Kikundi cha ngoma cha Zanzibar, akishambulia jukwaa wakati wa mashindano ya ngoma katika Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2018, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Wilayani Rungwe mji wa Tukuyu mkoani Mbeya jana Sept 21/ 2018. (Picha na Muhidin Sufiani)


Hivyo makala TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018

yaani makala yote TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tamasha-la-tulia-traditional-dances.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018"

Post a Comment