AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI

AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI
kiungo : AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI

soma pia


AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI

 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani[CCM akizungumza katika mkutano wa hadhara eneo sokoni wilayani Pangani kabla ya kushuhudia utiliaji wa saini ya mkataba wa maji kutiliana saini mkataba wa utekelezaji wa mradi huo baina ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga-Uwasa) wilayani hapo.
 MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto ni Katibu tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassan Nyange.
 MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigel,a katika akiwa na Mkuu wa wilaya ya Pangani  Zainabu Issa wakifuatilia mkutano huo kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani Hamisi Mnegero akifuatiwa na Naibu WAziri wa Maji na Umwagiliaji ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Pangani CCM Jumaa Aweso


NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi toka Kampuni ya Macarious Hotela and Co.Ltd ya Jijini Tanga kumaliza mradi wa maji katika mji wa Pangani wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 500 kwa wakati kabla ili kuweza kutoa fursa kwa wananchi kunufaika na huduma hiyo muhimu.

Aweso ambae pia ni Mbunge wa Pangani ameyasema hayo wakati wa zoezi la kutiliana saini mkataba wa utekelezaji wa mradi huo baina ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga-Uwasa) Wilayani hapo.

“kwa kweli hatuta kuwa na msamaha kwa Mkandarasi atakae kwenda kinyume na matakwa ya utekelezaji wa mradi huu kama yalivyoainishwa katika mkataba tutakuwa wakali kweli”Alisema Aweso.

Aidha alisema mradi huo utawanufaisha wananchi wa Pangani Mashariki na Magharibi ambapo unatarajiwa kutekelezwa ndani ya kipindi cha miezi kumi kama makubaliano yalivyoafikwiwa na pande mbili upande wa Serikali na Mkandarasi.

Alisema Wizara hiyo ya Maji na Umwagiliaji imetenga fedha hizo ili kutatua kero za wananchi wa maeneo hayo hivyo Serikali haitakuwa na uvumilivu na mkandarasi atakae kwamisha jitihada hizo za Serikali.


Hivyo makala AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI

yaani makala yote AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/aweso-amtaka-mkandarasi-wa-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AWESO AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI KUUMALIZA KWA WAKATI"

Post a Comment