TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019

TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019
kiungo : TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019

soma pia


TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
TUME ya Vyuo Vikuu  Nchini (TCU) imetangaza maombi ya wanafunzi watakaojiunga vyuo vikuu katika mwaka wa masomo 2018/2019.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Katibu Mtendaji wa TCU Profesa Charle's Kihampa amesema kuwa jumla ya waombaji wa awamu ya kwanza walikuwa 74,113.

Amesema wanafunzi waliodahiliwa na vyuo vikuu awamu ya kwanza 43,005 katika dirisha la awamu ya kwaza. Profesa Kihampa amesema kuwa wanafunzi waliokosa kudahiliwa katika dirisha hilo ni wanafunzi 31,108.

Amesema katika uhakiki wa maombi hayo wamepata wanafunzi 39,812 ndio wenye sifa ya kujiunga na Shahada ya kwanza.

Amesema walioidhinishwa na TCU 22,743 huku waombaji 16,507 wameomba vyuo zaidi ya kimoja ambapo watatumiwa namba ya siri ya kuwa na chuo kimoja atachosoma shahada hiyo.

Kati ya maombi hayo ni wanafunzi 3,193 hawana sifa ya kujiunga na shahada ya kwanza huku waombaji waliodahiliwa miaka ya nyuma ni 562 na baadhi ya majina ya waombaji 102 yanakasoro.
Amesema dirisha la awamu ya pili litafunguliwa Septemba 6 na kufungwa Oktoba 6 mwaka huu.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) Profesa Charle's Kihampa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na wanafunzi wanaopaswa kudahiliwa katika shahada ya kwanza katika mwaka masomo 2018/2019.


Hivyo makala TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019

yaani makala yote TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tcu-yatangaza-wenye-sifa-ya-kujiunga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TCU yatangaza wenye sifa ya kujiunga vyuo vikuu 2018/2019"

Post a Comment