WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA

WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA
kiungo : WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA

soma pia


WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipeperusha bendera aliyokabidhiwa na wananchi waliofanya matembezi ya kutoa elimu kwa wananchi yaliyofanyika kwa siku tatu mkoani Iringa wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea bendera kutoka kwa wananchi waliofanya matembezi ya kutoa elimu kwa wananchi yaliyofanyika kwa siku tatu mkoani Iringa wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika katika kiwanja cha Kichangani mkoani Iringa leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa(katikati) akiwapungia mikono wakati alipokuwa anapokea maandamano ya wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa kupambana na dawa za kulevya wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika katika kiwanja cha Kichangani mkoani Iringa leo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza na kushoto ni  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa(kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika katika kiwanja cha Kichangani mkoani Iringa leo.
Baadhi ya wananchi pamoja na wadau wa kupambana na dawa za kulevya wakipita kwa bashasha mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika katika kiwanja cha Kichangani mkoani Iringa leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Sheria Edwin Kakolaki alipotembelea banda la mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevyawakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika katika kiwanja cha Kichangani mkoani Iringa leo.


Hivyo makala WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/waziri-mkuu-aongoza-maadhimisho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA MKOANI IRINGA"

Post a Comment