SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU

SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU
kiungo : SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU

soma pia


SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imeanza kutumia safari za anga kufanya doria katika kukabiliana na changamoto kubwa inayoikabili serikali katika uhifadhi wa Sekta ya misitu na maliasili kwa jumla.

Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa TFS Professa Dos Santos Silayo, amesema lengo la doria hizo ni kuhakikisha ulizi unaimarishwa katika maeneo yote ya misitu ambayo TFS imepewa dhamana ya kuilinda.

“Nimeelekeza watendaji wangu kufanya doria ya anga kuanzia leo na tutaanza na Kanda ya Mashariki na nizitake kanda nyingine zijipange, maeneo/misitu korofi myabaini na kutafuta ramani zake. Nitawatumia ndege kwa ajili ya doria kutambua uharibifu.

“Tumekuwa tukifanya doria za misitu lakini tumekuwa tukiwiwa vigumu kuyafikia maeneo yote, lakini kupitia doria za anga sasa tutajua kila kinachoendelea kwenye eneo la misitu na kwa kutumia vikosi kazi vyetu tutafanya ulinzi kwa uhakika zaidi,” amesema Profesa Silayo.

Professa Silayo aliongoza kuwa ili kuongeza tija TFS itashirikiana na Wakuu wa wilaya pamoja wa wataalamu wa ardhi wa maeneo husika.

Akizungumzia mara baada ya kufanya doria ya anga, Meneja Msaidizi wa TFS, Kanda ya Mashariki, Bernadetha Kadala alisema doria hio imewawezesha kuona kwa karibu zaidi hali halisi ya misitu iliyopo kwenye Kanda za Mashariki na kufahamu kuna nini kinachotokea kwa wakati huo na hivyo itawawezesha kufanya ulinzi kwa weledi.
 TFS ikifanya doria ya anga ikionyesha baadhi ya wananchi wakiwa wanatengeneza jahazi kwa kutumia miti waliyovuna kinyume na taratibu kutoka msitu wa Mohoro River Wilayani Rufiji mapema jana. 
TFS ikifanya doria ya anga ikionyesha mistu wa Hifadhi wa Rufiji Delta ukiwa katika hali nzuri baada ya wananchi kuelewa umuhimu wa kuhifadhi mikoko kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. Picha na TFS.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU

yaani makala yote SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/serikali-yaanza-kutumia-ndege-kulinda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU"

Post a Comment