SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI

SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI
kiungo : SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI

soma pia


SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI

UMEMSIKIA alichosema Shishy Baby ? Iko hivi leo bwana amemtolea uvivu msanii maarufu nchini Nasseb Abdull a.k.a Diamond kwa kumwambia ni vema akamuoa Zarinah Hassan a.k.a Boss Lady. 

Shishy amesema hayo leo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam baada ya kutakiwa kusalimia wasanii na wageni waalikwa walioko viwanjani hapo. 

“Diamond naomba nikwambie hivi, binafsi natamani sana umuoe Zari…ni mwanamke anayejua kusuka mipango, ni mjasiriamali , ni mbunifu na anao uwezo mkubwa katika mambo ya ujasiriamali. 

“Wakati ule ulivyomuacha Wema na kwenda kwa Zari tukasema sio tatizo.Hivyo nitumie nafasi hiii kukuomba leo kuwa natama umuoe Zari maana huyu anakufaa sana,”amesema Shishy Baby. 

Hata hivyo Shishy Baby wakati anaeleza hayo Diamond alikuwa kimya akimsikiliza tu na baada ya kumaliza kuzungumza mshehereshaji wa shughuli hiyo alisema kuwa Shishy alikuwa anatania tu ili kufurahisha wageni waalikwa. 



Hivyo makala SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI

yaani makala yote SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/shishy-baby-amtolea-uvivu-diamond.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHISHY BABY AMTOLEA UVIVU DIAMOND, AMTAKA AMUOE ZARI"

Post a Comment