Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo.

soma pia

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
 Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mojawapo ya wgonjwa aliyepumzishwa katika chumba cha mapumziko katika hospitali mpya ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu mara baada ya kuifungua rasmi hospitali hiyo,Bariadi Mkoa wa Simiyu.

Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi kabla ya kufungua rasmi jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka kabla ya kufuangua jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.

Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo.

yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_8.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Amefungua Rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Leo."

Post a Comment