DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA

DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA
kiungo : DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA

soma pia


DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA


 
                                   KUFUTA UTEUZI
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12 (3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya mwaka 2011, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, amefuta uteuzi wa MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA NDUGU MOHAMMED HAFIDH RAJAB kuanzia leo tarehe 12 Oktoba, 2017.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO
ZANZIBAR
12 OKTOBA, 2017    


Hivyo makala DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA

yaani makala yote DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dk-shein-amtumbua-mkurugenzi-mkuu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA"

Post a Comment