NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA
kiungo : NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA

soma pia


NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA

          Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF limeshiriki maonyesho ya kwanza ya madini yanayoendelea mkoani Geita kwa lengo la kuwafikia kwa ukaribu zaidi watanzania wote watakaoshiriki maonyesho hayo kwaajili ya kutoa elimu na kuandikisha.

Maonyesho hayo ambayo yameshirikisha wadau wote wa sekta ya madini yameanza Septemba 24 hadi Agosti 30 2018 katika viwanja vya kalangalala mkoani Geita.

Kufuatia mabadiliko ya sheria, NSSF sasa inalenga kuandikisha wale wote waliopo sekta binafsi ya ajira na sekta isiyo rasmi, ili wanufaike na mafao yatolewayo na shirika hilo ikiwemo fao la matibabu bure kwa mwanachama na familia yake.

Akizungumza leo kutoka viwanja vya kalangalala Meneja wa NSSF Mkoa wa Geita Bwana Shaban Mpendu ametoa wito kwa watanzania wote kutembelea maonyesho hayo ya migodi na kufika katika banda la NSSF ili kuweza kupata elimu ya mafao yanayotolewa na NSSF pamoja na elimu ya hifadhi ya jamii kwa ujumla. 

Vilevile meneja amewataka wananchi hasa wa sekta binafsi na sekta isiyo rasmi kujiandikisha na NSSF. Uandikishaji unaofanyika katika banda la NSSF ni pamoja na uandikishaji wa waajiri, wanachama na usaijili wa matibabu bure.
 Meneja wa NSSF  mkoa wa Geita akimkaribisha mgeni rasmi Mh Stanslaus Nyongo Naibu Waziri wa Nishati na Madini katika banda la NSSF kwenye maonyesho ya kwanza ya madini mkoani Geita
 Meneja wa NSSF mkoa wa Geita Shaban Mpendu akitoa elimu kwa wadau wa sekta ya madini juu ya huduma zitolewazo na nssf katika maeonyesho ya kwanza ya madini yanayoendelea mkoani geita
Afisa mafao wa NSSF mkoa wa Geita bi Annastazia Ngallaba akimjazisha fomu ya uandikishaji mdau aliyetembelea banda la nssf kupata elimu na kuelewa somo hatimaye akaamua kujisajili.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Stanslaus Nyongo akipewa maelezo kwa ufupi katoka kwa Meneja wa NSSF Geita Ndugu Shaban Mpendu juu ya huduma zitolewazo na NSSF alipotembelea banda la NSSF muda mchache kabla ya ufunguzi rasmi wa maonyesho hayo. 


Hivyo makala NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA

yaani makala yote NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/nssf-yashiriki-maonesho-ya-kwanza-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA MADINI MKOANI GEITA"

Post a Comment