Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule
kiungo : Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule

soma pia


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba amekutana na kufanya mazunguzo na Mabalozi Wateule wanaoenda kuiwakilisha Tanzania maeneo mbalimbali Duniani.Mazungumzo hayo yaliyofanyika ofisini kwake Makao Makuu ya Nchi mjini Dodoma, yalijikita katika kujadili namna bora ya kuiwakilisha Tanzania ughaibuni kwa kuzingatia sera ya nchi ya mambo ya nje, kwa lengo la kuboresha mahusiano ya Kidiplomasia baina ya Tanzania na nchi hizo, na kwa kuzingatia maslahi mapana ya kiuchumi ya nchi yetu ikiwemo kutangaza shughuli za utalii zinazopatikana nchini. 
Naibu Waziri Mhe. Dkt. Susan Kolimba akisisitiza jambo 

Balozi Mteule Baraka H. Luvanda akichangia jambo wakati wa mazungumzo. Punde baada ya mazungumzo na Mhe. Naibu Waziri, Mabalozi walikutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 
Katibu Mkuu Wizara Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Aziz P Mlima akiongea na Mabalozi ofisini kwake mjini Dodoma 
Mazunguzo yakiendelea 


Hivyo makala Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule

yaani makala yote Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wateule"

Post a Comment