title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Taasisi ya watu wenye ulemavu ya Dk Reginald Mengi (DRMP), Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Dk Reginald Mengi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi, Shimimana Ntuyabaliwe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya kuzindua Taasisi ya watu wenye ulemavu ya Dk Reginald Mengi (DRMP), Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Dk Reginald Mengi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi, Shimimana Ntuyabaliwe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifunua kitambaa kuzindua Taasisi ya watu wenye ulemavu ya Dk Reginald Mengi (DRMP), Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Dk Reginald Mengi, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi, Shimimana Ntuyabaliwe na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, vijana na Ajira, Anthony Mavunde.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mlemavu wa viungo aliyepooza viungo baada ya kupata ajali akiwa shuleni, kabla ya kuahidi kumsomesha mpaka hapo atakapomaliza elimu yake, baada ya kuzindua Taasisi ya walemavu ya Dk Reginald Mengi, Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-azindua.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA TAASISI YA WALEMAVU"
Post a Comment