MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15

MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15
kiungo : MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15

soma pia


MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15

Na Mwandishi Wetu
BONDIA machachali nchini Vicent Mbilinyi anatarajia kupanda ulingoni Septemba 15 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa kuzipiga na Saidi Kidedea mpambano wa raundi 6 ambambo watakuwa wakisindikiza mpambano wa Fred Sayuni na Haidari Mchanjo

akizungumzia mpambano uho Mbilinyi amesema amejiandaa vya kutosha hivyo wamewataka mashabiki wake wasiwe na wasiwasi na maandalizi yake kwani yupo vizuri kila idara na anachotaka yeye ni ushindi wa K.O ya mapema ili asiwasumbuwe majaji watakaokuwepo siku hiyo

aliendelea kwa kusema kumeibuka n mapromota matapeli ambao wametengeneza mabango na kuweka picha yangu mimi na Cosmas Cheka kuwa nacheza siku hiyo mimi kama mimi ni bondia ninae jijua waeamuwa kunipaka matope na kuaribiana tu mimi sina mpambano na Cheka pambano ninalolijua mimi ni la taifa ninacheza na Saidi Kidedea ambapo nimesaini kwa Super D Boxing Promotion ambao ndio nimesaini nao kwa sasa

nae mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' kutoka kampuni tanzu ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion iliyo jizatiti kuendeleza shughuli za mipambano ya masumbwi nchini alisema mbali na pambano hilo rinalosubiliwa na mshabiki lukuki siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atakumbana na George Dimoso wakati Mohamedi Kashinde ata vaana na Sadiki Momba na Issa Nampepeche atakabiliana na Faraji Sayuni na Bakari Mbede atakutana uso kwa uso na Frenk John

mapambano hayo yote na mengine yataanza saa 12 jioni yani itakuwa mapema ili ngumi hizo ziishe kwa wakati uliopangwa 

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua mpaka kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd

Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini


Hivyo makala MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15

yaani makala yote MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mbilinyi-angaka-kupakaziwa-asisitiza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15"

Post a Comment