title : ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO
kiungo : ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO
NA IS-HAKA, ZANZIBAR.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Dk.Bashiru Ally amesema CCM inaendelea kuimarika na hakuna Chama chochote cha kisiasa nchini kinachoweza kushindana nacho katika uringo wa siasa za ushindani wa sera za maendeleo kwa wananchi wa makundi yote.
Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kuwasili kisiwani Pemba katika mwendelezo wa ziara yake ya kujitambulisha ambapo amezungumza na wanachama mbalimbali katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Alisema kutokana na uimara huo hakuna chama kingine mbadala wa Chama Cha Mapinduzi kinachoweza kushuka kwa wananchi nyumba kwa nyumba na kuratibu kero zao kisha kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu.
Dk.Bashiru aliwahakikishia wanachama na viuongozi hao kuwa CCM bado ipo imara na itapata ushindi wa kihistoria mwaka 2020 kwa nchini nzima kuliko ushindi unaopatikana kwa sasa katika uchaguzi mdogo unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.
KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally Akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM wa Mikoa miwili ya Pemba katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndugu Mberwa Hamad Mberwa akimpa tia Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru zawadi ya ndizi ya mkono wa Tembo.
KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally akitembea kuelekea ofisi ndogo ya CCM Chake chake mjini Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Tanzania akisalimiana na mwanachama mpya kutoka chama cha CUF aliyejiunga na CCM Amina Juma Nassoro
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>

Hivyo makala ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO
yaani makala yote ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ziara-ya-katibu-mkuu-wa-ccm-pemba-leo.html
0 Response to "ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO"
Post a Comment