MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA
kiungo : MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

soma pia


MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (kushoto) akizungumza na Masaneta kutoka Bunge la Ufaransa walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza toka kulia ni Seneta Ronan Dantec, Seneta Cyril Pelleah na Seneta Bernard Jomier.
   Balozi wa Ufaransa nchini Frederic Clavier (kushoto) akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) wakati yeye pamoja na Masaneta kutoka Bunge la Ufaransa walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza toka kulia ni Seneta Ronan Dantec, Seneta Cyril Pelleah na Seneta Bernard Jomier.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) akiwaelezea jambo Masaneta kutoka Bunge la Ufaransa na Balozi wa Ufaransa nchini wakati alipowatembeza ndani ya Ukumbi wa Bunge, wakwanza toka kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini Frederic Clavier, Seneta Ronan Dantec, Seneta Cyril Pelleah na Seneta Bernard Jomier.
 
  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) ndani ya Ukumbi wa Bunge katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Frederic Clavier, (wakwanza toka kulia) Seneta Ronan Dantec, Seneta Cyril Pelleah na Seneta Bernard Jomier.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) nje ya  Ukumbi wa Bunge katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Frederic Clavier, (wakwanza toka kulia) Seneta Ronan Dantec, Seneta Cyril Pelleah na Seneta Bernard Jomier.
PICHA NA BUNGE


Hivyo makala MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

yaani makala yote MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/maseneta-kutoka-bunge-la-ufaransa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA"

Post a Comment