SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI

SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI
kiungo : SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI

soma pia


SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI

   Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kushoto) akikabidhi zawadi ya jumla (inayojumuisha Samsung microwave oven, friji na TV inch 42 ) kwa Bw Rajabu Kassim Mchatta (kulia), mshindi wa  bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’ iliyolenga kupambana na bidhaa feki nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam ikihashiria hitimisho ya promotion hiyo.
Bw Rajabu Kassim Mchatta (kulia), mshindi wa zawadi ya jumla ya  bahati  nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’ akikagua zawadi yake mara baada ya  Makabidhiano. kushoto ni Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung.
Rayton Kwembe Mkuu wa kitengo cha bidhaa za majumbani Samsung Tanzania (katikati kulia) akishikana mkono na mshindi wa zawadi ya jumla ya bahati nasibu ya ‘Nunua Sajili na ushinde’ Bw Rajabu baada ya Makabidhiano yalifanyika makao makuu ya Samsung jijini Dar es Salaam. Kulia Meneja Bidhaa wa Samsung, Bw. Elias Mushi na Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kushoto)


Hivyo makala SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI

yaani makala yote SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/samsung-kuhitimisha-promotion-ya-nunua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAMSUNG KUHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI"

Post a Comment