MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI

MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI
kiungo : MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI

soma pia


MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) pamoja na baadhi ya Viongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakimpongeza Mwanariadha Alphonce Simbu kwa kuibuka mshindi wa tatu ambapo alijinyakulia medali ya shaba. Hafla hiyo ilikuwa ni maalum ya kumpokea yeye pamoja na wanariadha wengine wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere toka nchini Uingereza kwenye Mashindano ya Marathon ya 2017.
  Mwanariadha Alphonce Simbu akiwashukuru Viongozi mbalimbali waliokuja kumpokea na kumpongeza kwa ushindi wake katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka 2017 ambapo aliweza kujinyakulia medali ya shaba.
Wazazi wa Mwanariadha Alphonce Simbu wakiwaonyesha Waandishi wa habari (hawapo pichani) medali ya shaba aliyoshinda mtoto wao katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka 2017. 
Mwanariadha Alphonce Simbu akiwaonyesha Waandishi wa habari (hawapo pichani) medali ya shaba aliyoshinda katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka 2017.


Hivyo makala MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI

yaani makala yote MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mwanariadha-alphonce-simbu-apokelewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI"

Post a Comment