MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI.

MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI.
kiungo : MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI.

soma pia


MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI.



Na.John Luhende 
Mwambawahabari 
Katika kuboresha huduma za Afya Halmashauri  ya  Manispaa ya Ilala mwaka huu wa Fedha 2018/2019 imejipanga kukarabati kituo cha Afya buguruni ambapo imetenga jumla ya shilingi Milioni 79 kwajili ya ukarabati huo.

Akizungumzia ujenzi huo Mganga  Mkuu wa Manispaa ya hiyo Emili  Lihawa amesema , Pamoja na kiasihicho cha fedha  pia Halmashauri imepokea jumla ya shilingi milioni 500 kutoka ofisi ya Rais TAMISEMI kwaajili ya kuendeleza upanuzi wa kituo hicho ambapo watapanua jengo la X-RAY, UTRA-SOUND ,Upasuaji ,jengo la wazazi , na Jengo la Uasuaji dharua na Jengo la ufuaji wa nguo .

Dkt Lihawa amesema ,ujenzi huo uko katika hatua mbalimbali za ujenzi ambapo Jengo la X-RAY  pamoja na jengo la upasuaji yako katika hatua ya Linta ,Jengo la akimama liko katika hatua ya   msingi na kupandisha kuta huku  jengo la Ufuaji nguo (Laundry)likiwa katika maandalizi  ujenzi.

Kutokana  na ufinyu wa eneo hilo Dkt Lihawa amesema, Halmashauri  ya Manispaa ya Ilala ,awali ilinunua baadhi ya maeneo ya wananchi wanao zunguka  eneo hilo kwa kuwalipa fidia ambapo eneo hilo kwasasa ndiyo linalotumika kufanya upanuzi wa kituo hicho,na kuongeza kuwa kwasasa wanampango wa kuongeza eneo natayari nyuba saba zimeainishwa kulipwa fidia  ambapo inakadiliwa jumla  ya shilingi milion 500 zitatumika.

Pamoja na hayo Dkt Lihawa amewataka wananchi na wadau wa Afya  kuunga mkono ujenzihuo kwa halinamali.
‘’Ujumbe wangu wanachi wa Buguruni watumie  hikikituochao naTunakaribisha nguvu za wananchi mmoja mmoja ,na vikundi  vya watu kuweza kujitolea  tuweze kumalizia  ujenzi” Alisema.


Hivyo makala MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI.

yaani makala yote MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/manispaa-ya-ilala-yafanya-maboresho.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MANISPAA YA ILALA YAFANYA MABORESHO MAKUBWA KITUOCHA AFYA BUGURUNI."

Post a Comment