title : Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma
kiungo : Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma
Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma
Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akikagua miundombimu ya maji katika tanki ambalo litasambaza maji katika mji wa Serikali katika eneo la Ihumwa leo Jijini Dodoma.Tanki hilo litakuwa na uwezo wa kuchukua lita milioni moja.
Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akishiriki ujenzi wa jengo la Wizara yake unaoendelea katika Mji wa Serikali Ihumwa,Jijini Dodoma.
Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara hiyo Bw.Barnabas Ndunguru juu ya ujenzi wa kisima cha maji kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya Wizara hiyo katika eneo la Mji wa Serikali.
Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akiangalia ramani ya uwekaji wa mifumo ya Maji katika chanzo ambapo Serikali inachukua maji na kupeleka katika Mji wa Serikali katika eneo la Ihumwa Jijini Dodoma.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Maji Taka Dodoma(DUWASA) Mhandisi David Palangyo.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.06.01.2019
Hivyo makala Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma
yaani makala yote Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mbarawa-akagua-uwekaji-wa-mifumo.html
0 Response to "Waziri Mbarawa akagua uwekaji wa mifumo ya Maji na Maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wizara Ihumwa Jijini Dodoma"
Post a Comment