BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR

BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR
kiungo : BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR

soma pia


BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa  Skuli ya  Sekondary ya Ghorofa  Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.

  Katibu mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Radhia Rashid Haroub akitoa taarifa ya ujenzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU baada ya kufunguliwa na makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji daraja la Pili na Mkuu wa Elimu ya Kompyuta Yussuf Khatib Mirahi mara baada ya kuingia katika chumba cha Kompyuta ilikuona Vifaa hivyo katika Ufunguzi wa  Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiiwasha moja kati ya Kompyuta zilizowekwa kwa ajili ya mafunzo baada ya kuingia katika chumba cha Kompyuta katika Ufunguzi wa  Skuli ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja.
 Baadhi ya Wanafunzi wanaosoma katika Skuli ya Sekondary ya JKU  waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli yao mpya ya Sekondary ya Ghorofa Tatu ya JKU Mtoni Wilaya ya Magharibi A Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR

yaani makala yote BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/balozi-seif-ali-idi-afungua-skuli-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGUA SKULI YA SEKONDARY YA GHOROFA TATU MTONI ZANZIBAR"

Post a Comment