MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA

MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA
kiungo : MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA

soma pia


MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Profesa Evaristo Liwa akiongea machache wakati wa ufunguzi wa semina ya wiki mbili ya washiriki wa kozi ya kimataifa kuhusu maafa inayondeshwa na Chuo Kikuu Ardhi ikiwalenga wanafunzi wa shahada za juu na watendaji wa taasisi za kiserikali, binafsi na mashirika ya kimataifa jijini Dar es Salaam. Washiriki wanatoka nchi 12 za Afrika na Taasisi ya World Food Programme (WFP) Wakufunzi wanatoka Vyuo Vikuu vya Afrika vinavyounda mwamvuli wa Periperi U, UNDP na WHO Kozi hiyo imefadhiliwa na UNDP, USAID, WHO na WFP. Kushoto ni Kaimu Naibu Mkuu Chuo Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Robert Kiunsi. (Picha na Robert Okanda)
Sehemu ya washiriki wa semina ya kozi ya mafunzo ya mbinu za namna ya kutathmini athari zitokanazo na maafa wakifuatilia matukio wakati wa ufunguzi wa semina hiyo Dar es Salaam leo Septemba 10 2018. 
Mkurugenzi wa Utafiti wa Majanga na Mratibu Mratibu wa Mradi wa Periperi kutoka Chuo Kikuu cha Stellenbosch Dk Ailsa Holloway akiongea wakati wa ufunguzi wa semina ya kozi hiyo. 
Sehemu ya washiriki wa semina ya kozi ya mafunzo ya mbinu za namna ya kutathmini athari zitokanazo na maafa wakifuatilia matukio wakati wa ufunguzi wa semina hiyo Dar es Salaam leo Septemba 10 2018. 


Hivyo makala MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA

yaani makala yote MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makamu-mkuu-wa-chuo-kikuu-ardhi-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZINDUA MAFUNZO YA VYUO VIKUU 12 VYA AFRIKA KUHUSU MBINU NA NAMNA YA KUTATHMINI ATHARI ZITOKANAZO NA MAAFA"

Post a Comment