title : KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM.
kiungo : KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM.
KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM.
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
Kampeni za udiwani kata ya Vingunguti zimechukua sura mpya baadaya wenyeviti wa Serikali za mitaa saba kutoka CHADEMA na CUF kata ya vingunguti kujivua nyadhifa zao na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM wakisema wanamuunga mkono Mgombea wakiti cha udiwa kupitia CCM Omary Kumbila moto.
Wenyeviti hao wametangaza uamuzi huo katika mkutano wakampeni uliofanyika vingunguti Relini , wakizunguza baada ya kukabidhi kadi zao kwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Kate Kamba ,wamesema wameamua kujiunga na CCM baadaya kuchoshwa na migogoro isiyoisha katika vyama walivyotoka .
“Baba yangu Kumbilamoto uliniachia mzigo takribani mwezi mzimmoja nilikuwa nashinda ndani kuepuka lawama kwanini Omary Kumbilamoto kaondoka na sharifu Mbulu ndiye mlinzi wake? naminimeamua kuacha vyote katika chama cha wananchi CUF na nimeamua kujiunga rasmi na CCM’’ amesema
Aliye kuwa makamu katibu mkuu wa Chama Cha wananchi CUF Julius Mtatiro amewataka wananchi wa vingunguti kumchagua OMary kumbilamoto kwa kwakuwa alifanya uamuzi sahihi kujiunga na ccm , amesema ,vyama vya upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita vilikuwa vinadaii serikali haitimizi wajibu wake kwa kuwa kulikuwa na ufisadi mkubwa lakini sasa Serikali imefanyia kazi mambo yote chini yaMhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli
‘’vijana naomba tumuunge mkono kwa kumchagua omary Kumbilamoto kwa nafasi hii ya udiwani nakukumbuka waka 2015 nilisima katika viwanja hivi kumuuombea kura na shukuru mlimchagua nawaombeani tena tumchague, amesema Mtatiro.
‘’Nataka niwaambie kitukimoja kuwa , Kumbila moto alikuwa hapa kama Diwani lakini nilikuwa siwezi kushirikiana kwa sababu kunamambo mengine tukiyapanga kwenye chama chetu ya Ilani ya chama yeye alikuwa na Ilani yake ya CUF,kwahiyo nikiwa naye katika vikao vya maendeleo tunakuwa tunapishana , na kwasababu kaona kunaspidi ya Rais ya kufanya kazi na maendeleo yanayo onekana kwa macho na kuona nibora kujiunga na CCM ilikuhakikisha wananchi wa Vingunguti , naomba tumchague, amesema Kalua.
Naye mgombea kiti cha udiwana kupitia CCM , Omary Kumbilamoto akiomba kura kwa wananchi hao , ameahidi kuwasaidia walemavu kupata mikopo inayotolewa na Halmashauri ili waweze kuanzisha biashara .
‘’Naomba niwahakikishie kuwa nikipita walemavu wote tukutane katika ukumbi wa Mashujaa ili niwatambue muweze kupata asilimia 2 zenu za mkopo, amesema Mgombea.
Pamoja nahayo ameeleza kuwa ahadi ya kununua gari la waojwa katika zahanati ya Vingunguti aliitimza na kwamba maneno yanayo enezwa na wapinzani wake kuwa Gari alinnunuiwa na chama si za kwali na zianapaswa kupuuzwa .
‘’ Nawahakikishia kuwa gari hilo (AMBULANCE) nilinunua kwa pesa yangu na nakala za kadi hizi hapa zina jina langu wasiwadanganye‘’ alisema na kugawa nakala ya kadihiyo ili wananchi wasome.
Hivyo makala KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM.
yaani makala yote KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kambi-ya-upinzani-yazidi-kubomoka.html
0 Response to "KAMBI YA UPINZANI YAZIDI KUBOMOKA VINGUNGUTI , WENYEVITI WA SERKALI ZA MITAA ,MITAA SABA WAJIUNGA CCM."
Post a Comment