MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA
kiungo : MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

soma pia


MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

Mwambawahabari
PMO_4358
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  wa Ujenzi wa banio na mfereji wa maji wakati alipotembelea mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa Makamba wilayani Momba Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4391
Baadhi ya wananchi wa mji mdogo wa Tunduma  mkoani Songwe wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4468
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza ujumbe kutoka kwa Chifu Jubeki Chimpansya wa  Momba baada ya kusimikwa na wazee wa mila kuwa Chifu Simpanji katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji mdogo wa Tunduma mkoani Songwe Julai 21, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4522
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipokagua eneo la ujenzi wa jengo la pamoja la forodha kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia  katika mji mdogo wa Tunduma. Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4586
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kushoto kwake) wakitazama gari lililotengenezwa na  Adam Zachariah Kinyekie wakati alipowasili kwenye uwanja PMO_4669wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji Mdogo wa Tunduma kuhutubia mkutano wa hadhara Julai 21, 2017. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya na Songwe, Erasto Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4664
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka katika mji mdogo wa  Tunduma.  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4669
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka katika mji mdogo wa  Tunduma.  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4707
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  Dickson Mwandambila ambaye ni mlemavu baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye  Uwanja wa Shule ya Msingi ya Mwaka katika mji mdogo wa Tunduma.  Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

yaani makala yote MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/majaliwa-ahutubia-mkutano-wa-hadhara_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA"

Post a Comment