title : MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA
kiungo : MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA
MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA
Maher Albarwani (aliyevaa kofia) akiwa katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Urithi Festival.
Hii ndio Pikipiki aliyosafiri nayo Maher Albarwani kutoka Oman mpaka Tanzania akipita nchi mbalimbali Duniani.
Balozi wa Heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous Miss Journalism Tanzania Witness Kavumo(kushoto) akiwa na Maher Albarwani wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Urithi jijini Dodoma.
Mdau wa mambo ya Utalii, Festo Mazuguni (Kushoto) akiwa na Maher Albarwani uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Kutoka kushoto ni Balozi wa Heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous Miss Journalism Tanzania Witness Kavumo, Maher Albarwani aliye safiri na pikipiki kutoka Oman mpaka Tanzania na Naomi Mbilinyi ambaye ni Afisa Utalii kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakiwa katika Banda la Utalii. Picha na Fredy Njeje
Hivyo makala MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA
yaani makala yote MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/maher-albarwani-aliyesafiri-na-pikipiki.html
0 Response to "MAHER ALBARWANI, ALIYESAFIRI NA PIKIPIKI TOKA OMAN MPAKA TANZANIA KUSHUHUDIA TAMASHA LA URITHI JIJINI DODOMA"
Post a Comment