WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA

WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA
kiungo : WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA

soma pia


WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA

 

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara (CCM) ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Baada ya kutangazwa kama mshindi wa uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo la Ukonga kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Mwita Waitara, amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye.

Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya asilimia 95, hivyo hajashangaa kupata ushindi huo wa asilimia 89.

''Nina ushahidi wa ujumbe mfupi kwenye simu yangu, mawakala wa CHADEMA katika vituo jana wamenipigia kura na walikuwa wananitumia matokeo mapema tu hiyo inaonesha nilikuwa na uungwaji mkono mkubwa sana'', amesema.

Aidha Mwita amekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujitazama kilipojikwaa na sio kilipo angukia huku akiweka wazi kuwa kama wanataka chama kibakie waachane na mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakiendelea kumkumbatia chama kitawafia.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi leo, msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo, Jumanne Mashauri amemtaja Mwita Waitara wa CCM kama mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.


Hivyo makala WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA

yaani makala yote WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waitara-atoa-neno-baada-ya-kutangazwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAITARA ATOA NENO BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE UKONGA"

Post a Comment