title : DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
kiungo : DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambilisha akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo alipofika kujitambulisha akifuatana na ujumbe wake (hawapo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha. Picha na Ikulu, Zanzibar.
Hivyo makala DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
yaani makala yote DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dkshein-akuatana-na-balozi-wa-kenya.html
0 Response to "DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI"
Post a Comment