DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO.

DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO.
kiungo : DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO.

soma pia


DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO.

 Mwambawahabari
Diwani wa kata ya Chamazi Mh. Hemedi Karata alikabidhi jezi seti moja timu ya mpira ya wanawake ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi tawi la Kwa Mkongo (Kwa Mkongo Queens) inayo jianda na Mashindano ya Mpira wa Rede inayofamika kama MSOLOGONI REDE CUP 2018 inayotarajia kuanza kutimua vumbi Septemba 21,2018 katika Uwanja wa Kwa Karata, Chamazi, Dar es Salaam.
 Akizungumza jana jioni mara baada ya kukabidhi jezi Mhe.Karata alipongeza timu hiyo na kuwaomba kudumisha umoja na ushirikiano walio kuwa nao.
 "Niwapongeze sana, taarifa zenu ninazo kuwa mnafanya vizuri sana, ivyo na mimi nimeamua kuja kuwaunga mkono kwa kuwaletea seti moja ya jezi"


"Niliambiwa mnajianda na mashindano ambayo yanaanza tarehe 21 mwezi huu,na shida yenu kubwa ilikuwa jezi ndiyo maana nikaona niwalete, pia naimani kubwa na timu hii kufanya vizuri katika mashindano hayo, ivyo niwatakie kila la kheri" alisema Mhe. Karata.

Mhe.Karata alisema kuwa moja ya sehemu ya ulezi wa timu hiyo.

Imetolewa na
Shabani Rapwi
Katibu Hamasa na Chipukuzi Tawi la Kwa Mkongo


Hivyo makala DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO.

yaani makala yote DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/diwani-wa-kata-ya-chamaziakabirhi-jezi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DIWANI WA KATA YA CHAMAZI,AKABIRHI JEZI KWA TIMU YA WASICHANA YA UVCCM TAWI LA KWA MKONGO."

Post a Comment