title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni mjini Dodoma Februari7, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya, Bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu, bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara kuelekea kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kavuu, Dkt. Pudenciana Kikwembe kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma, Februari 7, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO"
Post a Comment