title : ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba.
kiungo : ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba.
ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba.
Meneja wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar ZSSF Tawi la Pemba Rashid Mohammed Abdallah (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10, Kwa Kamati ya Skuli ya Sekondari Kiwani Kisiwani Pemba, kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa ya Skuli hiyo makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa ZSSF Tibirizi Chakechake Pemba leo.
Hivyo makala ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba.
yaani makala yote ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/zssf-yachangia-ujenzi-wa-skuli-ya.html
0 Response to "ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba."
Post a Comment