title : DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO
kiungo : DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO
DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO
Na Heri Shaaban
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema kesho anaanza ziara ya wiki moja katika jimbo la Segerea,dhumuni la ziara hiyo kutatua kero za Wananchi wa ngazi ya kata hadi mtaa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo alisema kuwa,ameweka utaratibu wa kufanya ziara ya kuzungumza na wanachi wake kushuka kusikiliza kero zao .
"Huu ni mwendelezo wa ziara zangu ndani ya wilaya hii ambayo ilianzia Jimbo la Ukonga na sasa inamia Jimbo la Segerea kuanzia Septemba 18 hadi 24 kutatua kero za
wananchi"alisema
Mjema
Hivyo makala DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO
yaani makala yote DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-mjema-kuanza-ziara-jimbo-la-segerea.html
0 Response to "DC MJEMA KUANZA ZIARA JIMBO LA SEGEREA KESHO"
Post a Comment