BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA.

BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA.
kiungo : BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA.

soma pia


BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA.

Na  Bashir  Yakub
Sio siri wengi waliowekeza kwenye biashara ya bajaji,bodaboda,taxi na hata daladala wamejuta kufanya hivyo. Wengi wameingia hasara na mambo hayakuwa kama walivyotarajia. Na niamini,waliomo leo kwenye hiyo biashara sio wale walioanza, bali ni wageni kwani walioanza walishaacha siku nyingi kuepuka kichwa kuuma.
Sasa yafaa tuzingatie mambo kadhaa ya kisheria ili kuona  namna gani unaweza kudhibiti biashara hii na hata ikikushinda isikushinde ukiwa mwenye kupoteza(looser).Katika kufanya hivyo tutizama mambo mawili, kwanza Mkataba, na pili Udhamini.
1.MKATABA.
Eneo la mkataba au makubaliano ni eneo muhimu  sana tangu unapowaza biashara hii. Mkataba ndiyo tafsiri ya uhusiano wako na huyo unayemkabidhi chombo. Popote, na wakati wowote mtakapotofautiana  rejea yenu ya kwanza ni mkataba. Mkataba ndio biashara yenyewe, na hivyo uimara wa mkataba utatambulisha uimara wa biashara, halikadhalika udhaifu wa mkataba huenda ukawa ndio udhaifu wa biashara.
Na uimara wa mkataba ni sehemu kuu mbili. Kwanza mfumo, na pili maudhui/vipengele. Mfumo ni lazima mkataba uwe katika muundo mzuri wa sheria. Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mikataba, Sura ya 345 kinasema mkataba  mzuri ni ule ambao umefanywa na watu stahili kufanya mkataba(partie’s competence), wenye hiari huru(free consent), wakibadilishana vitu halali(lawful object and consideration ), na kile wanachokubaliana kiwe hakijakatazwa na sheria nyingine yoyote. Kwahiyo mfumo mzuri wa mkataba utategemea haya.                  KUSOMA ZAIDI NENDA sheriayakub.blogspot.com





Hivyo makala BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA.

yaani makala yote BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/bodaboda-bajaji-taxi-kushindwa-kuleta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI UFANYE KISHERIA."

Post a Comment