WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
kiungo : WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

soma pia


WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA


Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kulia)akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dkt Masudi Senzia juu ya miradi ya upanuzi wa Chuo hicho inayoendelea kazi ziara ya siku moja aliyoifanya Mei 9,2018

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(katikati)akiwa na watumishi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akikagua moja ya Karakana ya Mitambo inayofanyiwa ukarabati.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(katikati)akiwa pamoja na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia(kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Dk Erick Mgaya katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya upanuzi wa Chuo hicho.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia)akikagua moja ya makontena yenye vifaa mbalimbali kwaajili ya mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kushoto)akiangalia kiungo cha bomba kwenye Karakana ya wanafunzi wanaosoma kozi fupi kwaajili ya kuwa sehemu ya mafundi watakaojenga Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kulia)akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia katika ziara aliyoifanya kwenye Chuo hicho kukagua shughuli mbalimbali zinazoendelea.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika moja ya Maabara ya Chuo hicho.

Wafanyakazi wa Chuo cha Ufundi Arusha wakimsikiliza Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako.


Hivyo makala WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

yaani makala yote WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-wa-elimu-sayansi-na-teknolojia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA"

Post a Comment