SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA

SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA
kiungo : SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA

soma pia


SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA


Shirikisho la Soka nchini (TFF) leo linakutana na uongozi wa klabu ya Simba kunako makao makuu yaliyopo mitaa ya Karume, Ilala, Dar es Salaam.

TFF wanakutana na Simba kwa lengo la kuweza wazi sakata la kuondolewa kwa wachezaji wake 6 ambao walikuwa wameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars.

Uongozi wa shirikisho hilo utaweza wazi juu ya suala hilo sambamba na Simba wenyejewe juu ya wachezaji hao ambao wamekuwa gumzo kubwa kwenye vyombo vya habari.

Wachezaji wa Simba waliondolewa kwenye kikosi na Kocha Mkuu, Emmanuel Amunike kwa kuchelewa kuripoti kambini huku Kipa Aishi Manula pekee akiwahi.

Wachezaji ambao waliondolewa ni Shiza Kichuya, Shomary Kapombe, Jonas Mkude, Hassan Dilunga, John Bocco na Erasto Nyoni.

Idaidi ya wachezaji walipaswa kuanza mazoezi na wenzao jana kwenye Uwanja wa Bocco Veterani tayari kujiandaa na mchezo wakufuzu kuelekea AFCON dhidi ya Uganda, Septemba 8 2018 huko Kampala.


Hivyo makala SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA

yaani makala yote SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/simba-kukutana-na-tff-kujadili-sakata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SIMBA KUKUTANA NA TFF KUJADILI SAKATA LA WACHEZAJI SITA"

Post a Comment