NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA

NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA
kiungo : NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA

soma pia


NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamii

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala, Norah Waziri maarufu kama Nora Mzeru amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na shtaka la kughushi cheti cha ndoa. 

Wakili wa serikali Mwandamizi, Ester Kyara amedai mbele ya Hakimu Mkazi, Flora Haule. 

Kwa kua katika siku isiyojulikana jijini Dar, es Salaam, kwa nia ya kudanganya, alighushi cheti cha ndoa chenye usajili namba 00040078 kwa nia ya kuonesha kuwa alifunga ndoa na marehemu Silvanus Mzeru Februari 4, 1995 katika kanisa la Roman Catholic la Mburahati wakati wakijua si kweli. 

Hata hivyo, mshtakiwa huyo baada ya kusomewa shtaka lake hilo, amekana na ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana. 

Mahakama imemtaka mshtakiwa kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika ambao watasaini bondi ya Sh 2milioni.  Kesi imeahirishwa hadi Novemba 21, mwaka huu.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala, Norah Waziri maarufu kama Nora Mzeru (Picha ya zamani).
Aliyekuwa  Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala, Norah Waziri maarufu kama Nora Mzeru akiwa katika mahakama ya Wilaya ya Ilala leo akikabiliwa na shtaka la kughushi cheti cha ndoa. 


Hivyo makala NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA

yaani makala yote NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/nora-mzeru-kizimbani-kwa-tuhuma-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA"

Post a Comment