MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA.

MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA.
kiungo : MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA.

soma pia


MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA.


Kiungo wa Klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya akiwafunika Mo Salah wa Liverpool na Cristiano Ronaldo wa Juventus.

Kipa wa Real Madris, Kyle Navas, ametwaa tuzo ya goli kipa bora wa michuano ya Uefa msimu wa mwaka 2017/18.

Beki kisiki wa Real Madrid, Sergio Ramos, ametwaa tuzo ya beki bora kwenye michuano ya Uefa msimu wa mwaka 2017/18.

Aidha, Cristiano Ronaldo aliyekuwa Real Madrid kabla ya kutimkia Juventus, ametwaa tuzo ya mshambuliaji bora wa michuano ya Uefa msimu wa mwaka 2017/18.

Pia, Legendari, David Bechkam amepewa tuzo ya heshima kutoka uefa kutokana na mchango wake mkubwa katika soka.

Walioshika nafasi kuanzia ya 4 za mchezaji bora ni;

4 Antoine Griezmann (Atlético & France) – 72 alama
5 Lionel Messi (Barcelona & Argentina) – 55 alama
6 Kylian Mbappé (Paris & France) – 43 alama
7 Kevin De Bruyne (Manchester City & Belgium) – 28 alama
8 Raphaël Varane (Real Madrid & France) – 23 alama
9 Eden Hazard (Chelsea & Belgium) – 15 alama
10 Sergio Ramos (Real Madrid & Spain) – 12 alama


Hivyo makala MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA.

yaani makala yote MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/modric-anyakua-tuzo-mchezaji-bora-ulaya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MODRIC ANYAKUA TUZO MCHEZAJI BORA ULAYA."

Post a Comment