Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa.

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa.
kiungo : Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa.

soma pia


Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa.

Hussein Ndubikile, Mwambawahabari

Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) limesema Mkutano wa Tisa wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika(OATWU) umechaguliwa kufanyika Tanzania kwa kuwa shirikisho hilo linaunga mkono juhudi za Rais Dkt. John Magufuli za kupambana Rushwa.

Hayo yamesemwa leo jijini humo na Katibu wa TUCTA, Yahaya Msigwa kwenye mkutano huo uliokutanisha pia Umoja wa Afrika(AU).

Amesema kuwa tangu Rais Magufuli aingie madarakani Tanzania imekuwa mstari mbele katika kupambana na rushwa hali inayochangia kupewa sifa na mataifa mengine hivyo shirikisho likaonelea kuipa heshima.

“Tanzania imepewa heshima ya kufanyika mkutano kwa kuwa inaongoza katika mapambano ya rushwa hasa tangu Serikali ya Awamu ya Tano ilipoingia madarakani,” amesema.

Amebainisha kuwa mkutano huo unajadili maendeleo barani Afrika na kusitisitiza utajikijikita katika kuangalia suala la rushwa mbalimbali zinavyoathiri maendeleo barani humo.

Amesisitiza kuwa mkutano huo pia utaegemea kwenye suala la utawala bora endapo usipozingatiwa unavyochangia kukosekana kwa uwajibikaji na kutotenda haki.

Amefafanua kuwa rushwa ya kisiasa husababisha viongozi wanaoingia madarakani kujali masilahi yao hali inayosababisha wananchi kukosa huduma muhimu za kijamii.

Katika hatua nyingine, amesema wanachama wa shirikisho waliokuja kwenye mkutano huo wanatamani kuonana na Rais Magufuli huku akibainisha watatoka na mapendekezo yatakayowasilishwa Serikalini.


Hivyo makala Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa.

yaani makala yote Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/shirikisho-la-vyama-vya-wafanyakazi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Barani Afrika lamuunga mkono JPM mapambano ya rushwa."

Post a Comment