title :
kiungo :
Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdi akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuupokea Ujumbe kutoka Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar uliofika Zanzibar kwa ziara ya siku Tatu kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo.
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mshauri-wa-rais-ushirikiano-wa.html
0 Response to " "
Post a Comment