Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba

Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba
kiungo : Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba

soma pia


Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba

· Airtel kuuza simu kwa bei nafuu sabasaba
· Simu ya Airtel kuuzwa 16,000 ikiwa na bando la 10,00 mwezi mzima BURE

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza ofa kabambe wakati wote wa maonyesho ya biashara ya sabasaba mwaka huu zitakazowawezesha wateja wake na wale wapya kuunganishwa na huduma za mtandao kwa gharama nafuu na pia kujipatia simu bomba kwa bei nafuu.


Akiongea na waandishi wa habari katika banda la Airtel lililopo viwanja vya sabasaba Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema “dhamira yetu Airtel ni kuendelea kuunganisha jamii kwa bidhaa na huduma, hivyo kwa msimu huu maonesho ya saba saba tutatoa ofa nyingi sana ikiwemo simu aina ya ZTE GS 500, Motorola C113, Motorola F3 na Motorola C117 kwa shilingi 16,000 tu na mteja akishanunua ataunganishwa na bando la shilingi 10,000 litakalodumu kwa muda wa mwezi mmoja”

“Unaweza ukaona hapo gharama ya simu inakuwa nafuu na kisha unaunganishwa na kifurushi cha mwezi mzima BURE kuongea na ndugu, jamaa, na marafiki huku ukifaidi huduma zingine za Airtel” alieleza Mmbando.

Meneja uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando (kulia) na Afisa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Veronica Valentine (kushoto) wakionesha simu aina ya ZTE na Motorola katika banda la Airtel lililoko katika viwanja vya maonesho ya biashara maarufu kama sabasaba, simu hizo zitauzwa kwa bei ya ofa ya shilingi 16,000 tu na mteja ataunganishwa na kufurushi cha muda wa maongezi kwa mwezi mzima cha shilingi 10,000 BURE. katikati ni Afisa huduma kwa wateja wa Airtel Tumwidike Michael 
Kutoka kulia ni Afisa huduma kwa wateja wa Airtel Digna Paul na Tumwidike Michael wakitoa huduma katika banda la Airtel lilipo katika vya maonesho ya biashara maarufu kama sabasaba leo. katika banda hilo airtel itauza simu original kwa bei ya shilingi 16,000 ikiwa imeunganishwa na laini ya airtel na bando la mwezi mzima la shilingi 10,000 BURE. 


fisa huduma kwa wateja wa Airtel Tumwidike Michael akionesha baadhi ya simu na vocha zinazouzwa katika banda la Airtel lililoko katika viwanja vya maonesho ya biashara maarufu kama sabasaba, simu hizo zitauzwa kwa bei ya ofa ya shilingi 16,000 tu na mteja ataunganishwa na kufurushi cha muda wa maongezi kwa mwezi mzima cha shilingi 10,000 BURE.




Hivyo makala Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba

yaani makala yote Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/airtel-yatoa-ofa-kabambe-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Airtel yatoa ofa kabambe katika maonesho ya sabasaba"

Post a Comment