Msimu mpya wa Premier League na DStv

Msimu mpya wa Premier League na DStv - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msimu mpya wa Premier League na DStv, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msimu mpya wa Premier League na DStv
kiungo : Msimu mpya wa Premier League na DStv

soma pia


Msimu mpya wa Premier League na DStv

Baada ya Msimu wa Kombe la Dunia kuisha tunarudi kwenye ratiba yetu rasmi ya Soka la Kibabe la Ligi ya EPL. Wanaotufungulia dimba Ijumaa hii ni mechi kati ya Manchester United dhidi ya Leicester City. Wazee wa kazi wanasema biashara asubuhi, je wabingwa hawa wataanzaje msimu huu?

MAJIBU tutayapata Ijumaa hii ndani ya Supersport 3 Saa 3:50 usiku LIVE kwenye DStv pekee ikiwa kwenye Lugha yetu tamu adhimu ya Kiswahili.

Bila kusahau, wateja wa DStv wanaweza pakua “Download Application” ya DstvNow itakayowawezesha watanzania wengi kufurahia msimu huu wa soka kwani unachotakiwa tu ni kuwa na akaunti yako ya DStv na unaweza kutazama katika vifaa zaidi ya vinne kama vile simu, kompyuta, na televisheni ya kawaida ukiwa mahali popote wakati wowote!

Huu Moto hauzimi na kama sio DStv, Basi Potezea!


Hivyo makala Msimu mpya wa Premier League na DStv

yaani makala yote Msimu mpya wa Premier League na DStv Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msimu mpya wa Premier League na DStv mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/msimu-mpya-wa-premier-league-na-dstv.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msimu mpya wa Premier League na DStv"

Post a Comment