NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO

NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO
kiungo : NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO

soma pia


NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga umetumia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi dunia (Mei Mosi) kuwakumbusha waajiri kuhakikisha wanatoa michango kwa ajili ya watumishi wao. 


Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga Meneja wa Mfuko huo Mkoani Tanga Happines Sima ambapo aliwataka waajiri kuzingatia suala hilo. 

Alisema pia wametumia fursa hiyo kuweza kuhamasisha waajiri ambao watumishi wao ambao hawajajiunga na mfuko huo wajiunge ili waweze kunufaika na fursa zilizopo ndani ya mfuko huo. 

“Lakini pia katika maadhimisho haya tumeweka banda letu ili kuweza kuwasikiliza wafanyakazi na kutatua kero zao mbalimbali zinazowakabili “Alisema Meneja huyo. 

Hata hiyo aliwataka wazazi na walezi kuwaandikisha watoto wao kwenye mpango wa Toto Afya Kadi ili waweze kunufaika na huduma ya matibabu pindi wanapougua . 

 MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Happines Sima akizungumza wakati wa maadhimisho hayo leo
 Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kushoto ni Meneja wa Mfuko huo mkoa wa Tanga Happines Sima akiweka sawa mwamvuli wakipita mbele ya mgeni rasmi
 Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)


Hivyo makala NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO

yaani makala yote NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/nhif-tanga-yatumia-maadhimisho-ya-mei_1.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NHIF TANGA YATUMIA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KUWAKUMBUSHA WAAJIRI KUTOA MICHANGO YA WATUMISHI WAO"

Post a Comment