Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola.

Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola.
kiungo : Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola.

soma pia


Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola.

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akibadilishana mawazo na Mhe Maria Ndilla Kangoye ambae ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Kanda ya Afrika na pia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. 






NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI AONGOZA UJUMBE WA ZANZIBAR KATIKA MKUTANO WA 49 WA MABUNGE WANACHAMA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA
Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mabunge wanachama wa nchi za Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said pamoja na Katibu wa tawi hilo ambae pia ni katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Msellem wakisikiliza mada zinazojadiliwa. 





Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akibadilishana mawazo na Mhe Maria Ndilla Kangoye ambae ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Kanda ya Afrika na pia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. 
Mwenyekiti wa kamati tendaji ya nchi wanachama wa mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola Mhe Simai Mohammed Said akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Baraza kutoka Rodrigues Regional Assembly Mauritius Mhe Marie Pricie Anjela Speville, katikati ni Makamu wake Mhe Ramdally Jean Rex. 


Hivyo makala Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola.

yaani makala yote Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkutano-wa-49-wa-mabunge-wanachama-nchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa 49 wa Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola."

Post a Comment