SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA
kiungo : SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA

soma pia


SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA

Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio na wafanyakazi wengine wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa ndani ya ofisi za NHC Dodoma.
 Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa na Wale wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dodoma wakikagua eneo la mradi. 
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio akikabidhiana nyaraka na Meneja wa Kanda wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Injinia Nyirabu Musira wakati viongozi walipokabidiana eneo la Ujenzi la Ofisi ya Makao Makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dodoma, Shirika la Nyumba limepewa kandarasi ya kujenga jengo hilo lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 10.8 ambalo litakuwa makao makuu ya Mamlaka hiyo nchini. NHC imepewa dhamana ya kuusanifu, kujenga na kuusimamia mradi huo. 


Hivyo makala SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA

yaani makala yote SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/shirika-la-nyumba-la-taifa-lakabidhiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA"

Post a Comment