Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi

Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi
kiungo : Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi

soma pia


Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifariji na kuipa pole  Familia ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri kufuatia kufariki kwa Mama yao Bibi Mwakombo Mjengo hapo katika Kijiji cha Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifariji na kuipa pole  Familia ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri kufuatia kufariki kwa Mama yao Bibi Mwakombo Mjengo hapo katika Kijiji cha Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Balozi Seif akiifariji Familia ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri Makombeni Mkoani alipoika kuipa pole kufuatia kifo cha Mama yao Bibi Mwakombo Mjengo.
Kulia ya Balozi Seif ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri na kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Omar Khamis Othman.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi

yaani makala yote Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/balozi-seif-ampa-pole-naibu-waziri-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi"

Post a Comment