title : DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA
kiungo : DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA
DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa wilya ya Ilala Mhe . Sophia Mjema amewatakawananchi Wilayani Ilala kufuata sheria na kuacha uvamizi wa maeneo ya watu ilikupunguza migogoro isiyo yalazima.
Akizungumza na wananchi wa kata ya Msongola DC Mjema amesema hakunamwananchi anayerusiwa kujichukuliasheria mkononi kwa kujenga nyumba katika kiwanja au shamba lamtu kwa kuwakufanyahivyo nikuvunjashria.
"Wananchi na taka niwaambie kuwa mashambahayo yanamilikiwa na watu I kiwanja mwenyeshamba atatoataarifa kuhusu uvamizi na weweuliyejenga humahuna hati nayeyendiye mwenyehati tutavunja nyumbayako hatakamaumetumiapesakiasigani" amesema.
Aidha DC Mjema ambaye anaendelea na ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi ametembelea mradi Maji Kitonga na zahati katika eneo Luhanga nakushauri na kusisita watu Ishikawa kuwa na matumizi Mazuri ya pesa za serikali katika ujenzi wamiradi .
Kwa upande wao wananchi wa kata ya Kitonga wametoakerozao hukukerokubwa zikiwa ni umeme, barabara, Maji, Afya, na Elimu, ambapozotezimejibiwa nakuahiwa kuwa Serikali imezichukuachangamotozote zunginezishaaanzakufanyiwa kazi.
Hivyo makala DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA
yaani makala yote DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-mjema-awapasha-wavamizi-wa-viwanja.html
0 Response to "DC MJEMA AWAPASHA WAVAMIZI WA VIWANJA NA MASHAMBA"
Post a Comment