MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO

MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO
kiungo : MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO

soma pia


MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO

NA MWAMVUA MWINYI,MAFIA

MADIWANI wawili kutoka chama cha wananchi (CUF) kata ya Kilindoni na Jibondo ,wilayani Mafia ,Mkoani Pwani, wamejihudhuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM) ,kutokana na chama tawala kurudisha heshima na kuwa sikivu nchini.

Madiwani hao wamerudi CCM katika ziara ya kamati ya siasa mkoani Pwani ,iliyoweka kambi siku mbili wilayani humo,kutembelea miradi na kukagua utekelezaji wa chama hicho . Aliyekuwa diwani wa Jibondo Hassan Mohammed Hassan ,alisema amefanya maamuzi hayo kutokana na chama walichokuwepo kukosa mwelekeo na kukosa sera zinazojiuza. 

Alisema ,kata ya Jibondo ilikuwa na wafuasi wa CCM ambapo ilipofika 2004 wengi wao walihamia upinzani kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda wanavyotaka.“Nampongeza Rais Dk.Magufuli, mkuu wa mkoa wa Pwani, wilaya na CCM Mafia na mkoa kwa juhudi zao katika kuinua uchumi wa nchi na kukuza sekta ya viwanda na uwekezaji” alibainisha Hassan. 


Aliyekuwa diwani wa Jibondo wilayani Mafia Hassan Mohammed Hassan ,akimpa mkono Mwenyekit wa Chama Cha Mapinduzi,Mkoani Pwani Ramadhani Maneno baada ya kujihudhuru nyadhifa yake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM) (picha na Mwamvua Mwinyi).KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Hivyo makala MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO

yaani makala yote MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/madiwani-wawili-cuf-mafia-warudi-ccm-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO"

Post a Comment